Saturday 8 October 2016

#YALIYOJIRI>>> Watu 14 wanusulika kufa kwenye ajili iliyousisha lori na kiberenge.Fahamu zaidi hapa.

 Watu 14 wamenusurika kifo katika ajali iliyohusisha lori la kampuni ya bia Tanzaia Breweries na kiberenge cha kuvutia mabehewa cha TRL mjini Shinyanga eneo la Darajani katika makutano ya reli na barabara iendayo Mwanza.
Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii BLOG>>"www.hebronmalele.blogspot.com"

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi

Bonyeza Hapa CLICK HERE
 

0 comments:

Post a Comment