Shirikisho la Soka duniani Fifa 
imetoa orodha ya Ubora Duniani kwa mwezi wa Nane ambapo Argentina 
inaongoza ikiwa nafasi ya kwanza.
Ubelgiji wao wako katika nafasi ya pili huku mabingwa wa dunia Ujerumani wakiwa katia nafasi ya tatu.
Kwa
 Afrika, Nchi za juu kabisa ni zile zile na zimeshika Nafasi hizo hizo 
za Mwezi uliopita na hizo ni Algeria ambao wako Nafasi ya 19 wakifuaťiwa
 na Ivory Coast ambao ni wa 21.
Kwa nchi za ukanda wa afrika 
mashariki Uganda wanaongoza wakiwa nafasi ya 71,Rwanda wako nafasi ya 
78, kenya wao wanashika nafasi ya 116, Burundi wao wako nafasi 134 huku 
Tanzania wakiwa nafasi ya 140.
Orodha ya ubora duniani
1 Argentina
2 Belgium
3 Germany
4 Colombia
5 Brazil
6 Portugal
7 Romania
8 Chile
9 Wales
10 England
Poa maoni yako hapa. 
 









 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment