Meneja wa kampeni wa vyama vinavyounda umoja wa katiba(UKAWA) na waziri 
mkuu mstaafu wa serikali ya CCM ya awamu ya tatu BW FREDERICK TLUWAY 
SUMAYE amewataka watanzania kupuuza tuhuma za ufisadi zilizotolewa na 
aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr.Wilborad Slaa dhidi ya mgombea urais
 wa UKAWA Bw. Edward Lowassa pamoja na yeye na kueleza kwamba 
hawatapoteza muda wa kumjibu kwani hizo ni hila zilizopangwa kutaka 
kufifisha mabadiliko wanayohitaji  kwa watanzania.
 









 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment