AKIONGEA KUPITIA KITUO CHA TELEVISION CHA CLOUDS TV KUPITIA KIPINDI CHA SHILAWADU ,ALIULIZWA SWALI KUHUSU GHARAMA YA PAGE YAKE KAMA AKITAKA KUIUZA..BILA KUTAFUNA MANENO DIAMOND ALISEMA PAGE YAKE ANAWEZA KUUZA KWA BEI YA DOLA MILIONI 2 SAWA NA TSH BILIONI 4 ZA KITANZANIA.
Saturday, 1 October 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Diamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>Diamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Wema Sepetu na Diamond Watinga Mahakamani Kisutu. KISUTU: Msanii Wema Sepetu leo amefika Mahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya Bangi Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetangaza kumtetea baada ya Waki… Read More
Wastara Aondoka India kwa Matibabu Amwaga Chozi Airport Wakati Akiondoka. Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wastara ameondoka nchini kuelekea India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake ulioanza kumsumbua mwishoni mwa mwaka jana huku akiwashukuru watanazania na Vyombo vya Habari kwa kuwa pamoj… Read More
Daimond, Hamisa Mobetto Warudi Tena Mahakamani Kuweka Kumbukumbu za Kumtunza Mtoto Wao. February 13, 2018 stori inayoshika headlines ni ya Kimahakama ambapo Nyota wa muziki wa Bongo fleva na President wa WCB, Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wamerudi tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu k… Read More
Huu Hapa Ujumbe wa Zari Baada ya Picha za Hamisa Mobetto na Videographer wa Diamond Kusambaa. Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa pic… Read More
Mke wa Mzee Majuto: Namuombea Sana Mume Wangu Apone Maana Ndiye Furaha Yangu. MKE wa mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athuman ‘Majuto’, Aisha Yusuf amesema kuwa siku za hivi karibuni alipoanza kuugua tena mumewe amekuwa akikesha na kumuombea arudi katika hali ya kawaida kwani anapoumwa vitu vyote v… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment