Sunday, 14 August 2016

PICHA ZA MASANJA MKANDAMIZAJI AFUNGA NDOA LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

 MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Jana ameuaga ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.


Ongera sana "MASANJA MKANDAMIZAJI" kwa kufunga ndoa.
 JOTI AKIWA ANACHEZA PAMOJA NA KWAYA YA JERUSALEM AMBAYO NDIO KWAYA YA MAHARUSI MASANJA NA MONICA IN MITO YA BARAKA
JOTI MAC LEGAN NAO LEO NDANI YA MITO YA BARAKA KWA KWELI KULINOGA KWELIKWELI.
NAIBU SPIKA PIA ALIHUDHURIA KWENYE HARUSI HII ,VIONGOZI MBALIMBALI WA TAIFA HILI KAMA WABUNGE MAWAZIR.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment