Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Dogo Janja Ataka Kuoa..Madee Adai ni Dharau Kwake.Fahamu zaidi hapa.
Dogo Janja ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Kidebe’
amefunguka na kutangaza rasmi kuwa ana mpango wa kutaka kuoa na kusema
kwamba muda si mrefu anaweza kuvuta jiko na kuweka ndani.
Dogo Janja alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo ambacho
kilikuwa kinarushwa moja kwa moja kutokea Manzese na kusema kuwa suala
hilo lipo kwenye mchakato ila ni kweli ana mpango wa kuoa muda si mrefu.
‘Yah ni kweli nataka kuoa muda si mrefu nitavuta jiko hivyo siwezi
kusema ni lini ila suala hilo lipo kwenye mchakato” alisema Dogo Janja
Kwa upande wa Madee ambaye ni mlezi wa Dogo Janja kimuziki na katika
maisha ya kila siku alisema kuwa kitendo cha Dogo Janja kutaka kuoa
kabla yake itakuwa kama dharau hivyo anapaswa kusikilizia kwanza mpaka
yeye afanye mambo kwanza ndipo na yeye atangaze.
“Ha ha ha ha Dogo Janja kuoa kabla yangu itakuwa kama dharau aiseee
anapaswa kusubiri kwanza mimi nifanikishe jambo hilo ndiyo yeye afuate”
alisema Madee
Related Posts:
#BURUDANI>>>>Video: Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You’.
Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.
Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa
kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi
cha Coke St… Read More
#BURUDANI>>>>Producer Nahreel Aelekezea Jinsi Alivyokutana na Mpenzi Wake Aika.Fahamu zaidi hapa.
Tunapohitaji kuzungumzia moja kati ya couples za mastaa wa kibongo
zenye muonekano wa kupendeza kwenye macho ya mashabiki na jamii kwa
ujumla,lazima utapata list ndefu yenye majina makubwa kama DAIMOND na
ZA… Read More
#BURUDANI>>>Ujumbe Huu wa Vanessa Mdee Kwa Jux wa Wakuna Wengi.Fahamu zaidi hapa.
Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ametumia fursa ya siku ya
kuzaliwa ya mpenzi wake, ambaye pia ni Staa wa muziki wa R&B hapa
Bongo, Juma Jux kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani
anamp… Read More
#BURUDANI>>>Hatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni
mfanyabiashara wa maduka ya nguo.
Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la Sinza, … Read More
#BURUDANI>>>>Ndoa Yamfanya Mwana FA Kuacha Kufanya Mambo Haya.Fahamu zaidi hapa.
MAPEMA mwezi Juni, mkongwe kwenye gemu la Muziki Bongo, ambaye pia ni
staa wa Wimbo wa Bado Nipo Nipo, Hamisi Mwinjuma aliuaga ukapera baada
ya kufunga ndoa na mzazi mwenzake ambaye ni akauntanti, aliyezaa naye
mtoto ait… Read More
0 comments:
Post a Comment