Friday, 7 October 2016
#MICHEZO>>>GOLI LA VAN PERSIE LAWA GOLI BORA EPL.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Unakumbuka magoli ya ajabu ambayo aliyekuwa nyota wa zamani wa
Arsenal alitimka Emirate 2012 na kumfuata Ferguson baadae akachukua
ubingwa wa England kwa mara ya kwanza, huyu ni Robin Van Persie huwa
anafunga magoli ya ajabu ajabu sana haswa pale anapopata nafasi.
Related Posts:
#MICHEZO>>>TIKETI ZA YANGA VS SIMBA JUMAMOSI, MFUMO MZIMA WA UNUNUZI NA UNUNUE WAPI, SOMA HAPA. NAMNA YA UPATIKANAJI WA TIKETI MECHI YA YANGA VS SIMBA KUPITIA TIKETI ZA ELEKTRONIK … Read More
#MICHEZO>>>>Yusufu Manji akabidhi ekari 700 zitakazojengwa Uwanja wa Klabu ya "YANGA" ufukweni mwa bahari ya Hindi, Gezaulole, Kigamboni.Fahamu zaidi hapa. Jana Yusufu Manji kaikabidhi Yanga SC hekari 715 kujenga uwanja wa kisasa leo asubuhi hii MO kupitia ukurasa wa Simba SC ametangazwa kulipia kodi ya nyasi bandia zilizokwama kwa muda mrefu bandarini kumalizia ujenzi wa k… Read More
#MICHEZO>>>>HILI NDILO GARI ALILONUNUA MBWANA SAMATA NCHINI UBELIGIJI BEI YAKE NI TSH. MILIONI130.FAHAMU ZAIDI HAPA. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium – Jupiter League – Mbwana Ally Samatta, jana kupitia akaunti ya Instagram ameonyesha ‘ndinga’ yake aliyoinunua baada y… Read More
#MICHEZO>>>Ndege BInafsi ya Cristiano Ronaldo Yaanguka, Hakuwemo Ndani.Fahamu zaidi hapa. Ndege binafsi ya mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ilianguka wakati ikitua kwenye uwanja wa ndege wa El Prat jijini Barcelona, Jumatatu. Hakuna majeruhi walioripotiwa. Kwa mujibu wa ESPN, Ronaldo, aliyekuwa Dor… Read More
#MICHEZO>>>>SIMBA Vs Yanga: Mabomu ya machozi yalindima Uwanjani.Fahamu zaidi hapa. Mashabiki wa Simba uzalendo uliwashinda baada ya bao la Amissi Tambwe na kumua kurusha viti uwanjani wakipinga bao hilo, kutokana na kitendo hicho askari wa kutuliza ghasia waliamua kurusha mabomu ya machozi jukwaani. M… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment