Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>Fahamu Orodha Kamili ya Washindi wa Tuzo za MTV African Music Awards 2015 (MAMA).
Tuzo za MTV
African Music Awards (MAMA) zimetolewa muda mchache uliopita huko Durban,
Afrika Kusini. Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii waliobuka kidedea kwenye
Tuzo hizo, Hii ndio Orodha Kamili ya Washindi
Artiste of the Decade
P-Square
(Nigeria) – Winner
Song of the year
Mavins:
“Dorobucci” (Nigeria) – Winner
Best Collabo
AKA, Burna
Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria) – Winner
Best Male
Davido
(Nigeria) – Winner
Video of the year
“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan
Louw
Best Female
Yemi
Alade (Nigeria) – Winner
Best Hip Hop
Cassper
Nyovest (South Africa) – Winner
Evolution Award
Dbanj
(Nigeria) – Winner
Best New Act
Patoranking
(Nigeria) – Winner
Best Live Act
Diamond (Tanzania) – Winner
Best Group
P-Square (Nigeria) – Winner
Best Pop & Alternative
Jimmy Nevis (South Africa) – Winner
Best Francophone
DJ ARAFAT OFFICIEL (Ivory Coast) -Winner
Best Lusophone
Ary (Angola)
– Winner
Personality Of The Year
Trevor Noah
– Winner
Related Posts:
Tundu Lissu Ahofia TLS Kufutwa......Aitisha Mkutano wa Dharula wa Wanasheria.
Chama
cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeitisha mkutano wa dharula wa
wanasheria nchi nzima kwa ajili ya kujadili mapendekezo na kutoa msimamo
wao dhidi ya Serikali ya kuanzisha Bodi ya Usajili ya Mawakili.
Akizumza… Read More
Meya wa Ubungo Dsm, Amefanya Uzinduzi Huu Jana.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, leo Ijumaa 30 Julai
2017, amezindua kituo cha kisasa cha kukusanya kodi, ushuru na tozo
mbalimbali katika eneo la Simu 2000 pamoja na Kuhamsisha
wafanyabiashara,bodabo… Read More
Ndugai: Hamna Cha Kesi, Mimi Ndio Spika Watakaa Benchi Mwaka Mzima
Mahakama zetu zimeendelea kudharaulika baada ya leo bungeni spika ndugai
kusema wabunge waliosimamishwa vikao mwaka mzima wanakimbia kimbia tu
hakuna cha kesi mimi ndio Spika.
Nimejiuliza,Ndugai anahakika gani kama mahaka… Read More
Jinsi Bilionea wa IPTL-Tegeta Escrow Alivyonaswa Airport Akitaka "Kutoroka".
Haikuwa ajali, pesa ya ESCROW kupita katika bank ya kanisa katoliki,
mgawo kuwafikia mapadre na maaskofu,mawaziri na vigogo wa kila namna
katika nchi hii. Ili siku inapobumburuka, basi msururu wa watu
ujumuishwe na kuwe … Read More
Bei ya Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa zashuka.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji, (EWURA) imetangaza bei mpya ya
mafuta ya petroli ambayo imeshuka kwa asilimia moja ukilinganisha na bei
iliyotangazwa Juni 7 mwaka huu.
Kuanzia kesho, bei hizo zitashuka na kuuzwa … Read More
0 comments:
Post a Comment