Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>Ona alichokisema Diamond Platnum baada ya kuonana na wahandishi wa habari jana.
Mapema
leo kwenye Mkutano wa Kuwashukuru Waandishi na Vyombo vya habari kwa Support
waliyonipatia kuhamasisaha na kuwafikishia ujumbe mashabiki wangu pendwa kuweza
kunipigia kura hadi kuweza kuitwaa tunzo ya #Mtvmama2015 ..Shukran Nyingi ziwafikie @TigoMusicTz kwa
kuweza kuifanikisha Shughuri hii, TANSOMA BUSINESS HOTEL kwa kunipatia Ukumbi
pamoja na Chakula...COCACOLA kwa kuweza kunipatia Vinywaji pasipo kuwasahau
@fastjetofficial kwa kunisaidia kunisafirisha Mimi na team yangu nzima South
Africa kwenye #Mtvmama2015 na kurudi salama Nchini Tanzania
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>MTOTO WA MALKIA WA NORWAY AKUTANA NA VIJANA WALIOINGIA 5 BORA YA SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO LA STATOIL TANZANIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mtoto
wa Malkia wa Norway (Crown Princess of Norway), Mette Marit akifurahia
jambo wakati alipokutana na kuzungumza na vijana watano waliongia katika
hatua ya tano bora ya shindano la biashara la mashujaa wa kesho ambal… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Miswada Tata Kutua Bungeni .....Serikali Kubanwa kwa Maswali 553 Huku 88 Yakiwa ya Papo Kwa Papo.Fahamu zaidi hapa.
Serikali
inatarajiwa kuwasilisha miswada mbalimbali ya sheria katika Mkutano wa
Bunge la Bajeti utakaloanza kesho mjini Dodoma ili ijadiliwe na
kupitishwa na wabunge.
Miswada
mingi ya sheria imekuwa ikilalamikiwa… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mkuu wa Wilaya Amzuia Waziri Nchemba Kwenda Kijijini Kusikiliza Kero za Wananchi.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu wa Wilaya ya Butiama,
Annarose Nyamubi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara, juzi
alimzuia Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba kwenda kijiji
cha Mikomario wilayani Bunda kutatua mgogoro wa ardhi k… Read More
STAA WA FILAMU YA Going Bongo AMUUMBUA WEMA SEPETU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amekanusha taarifa
zilizoandikwa kwenye gazeti moja la kila siku kuwa amempa Wema Sepetu
nafasi ya upendeleo kuigiza kwenye filamu yake mpya, XBaller.
“Wema ana… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Lipumba Azidi Kuitesa CUF.Fahamu zaidi hapa.
Wanachama
wa Chama cha Wananchi (CUF), wameanza kushikana uchawi, huku viongozi
wakitakiwa kutoa maelezo ya kwanini wameshindwa kujadili hatua ya
kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim … Read More
0 comments:
Post a Comment