Baada ya majadiliano ya leo, kuanzia asubuhi, viongozi wakuu wa
UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii.
Vyombo vya habari tayari vimeshaalikwa kufika hapa Colosseum Hotel.
Tutawajuza kitakachozungumzwa. Tunajua Watanzania wanasubiri mwanga wa Tanzania ijayo chini ya uongozi wa UKAWA. Wanajua kupitia viongozi wa UKAWA, nchi itakuwa kwenye mikono salama kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa Tanzania yetu.

0 comments:
Post a Comment