Home »
Habari Moto
» #BREAKING NEWS>>>Muhindi aliyekamatwa Dodoma na mamilioni ya fedha wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa CCM arejeshewa pesa zake.
Mke wa Mugabe Amtaka Mumewe Kumtangaza Mrithi.
Rais wa Zimabwe ametakiwa na mkewe kumtaja ''mrithi'' wake ili kupunguza migawanyiko kuhusu mtu atakayemrithi.
''Rais hafai kuwa mwoga kumchagua mrithi wake na neno alke litakuwa la mwisho'',alisema bi Grace Mugabe.
Bwa…Read More
MTEJA Amuua Mganga wa Kienyeji Baada ya Kushindwa Kumtibu.
Mganga wa jadi, Revocatus Kanjalanga (65) katika Wilaya ya Nkasi mkoani
Ruvuma ameuawa kikatili kwa kuchomwa na mkuki mgongoni na mtu
asiyefahamika ambaye anadaiwa kuwa ni mteja wake wa muda mrefu.
Ilielezwa kuwa wateja …Read More
TUNDU Lissu Afunguka Baada ya Kutoka Rumande.
Tundu Lissu anasema baada ya kukamatwa na jeshi na polisi alizungushwa
sana polisi na mwisho wa siku walimpeleka sehemu katika kituo cha afya
ili apimwe mkojo lakini anadai alikata kupimwa mkojo kwani alikuwa
anatuhumiwa…Read More
0 comments:
Post a Comment