Polisi Wakamata Machungwa Yaliyoibiwa.
Polisi wa huko jijini Seville nchini Hispania wakamata watu watano jana
baada ya kufukuzana nao kwa kasi na ndipo hapo polisi waligundua tani
hizo za machungwa zilizoibiwa ambazo watuhumiwa walikuwa wameyajaza
ndani ya m…Read More
Mzee Kingunge Kuzikwa Leo Hii Hapa Ratiba ya Mazishi.
RATIBA ya mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale
Mwiru, iliyotolewa na familia yake jana inaonyesha atazikwa leo Jumatatu
katika shughuli itakayoanza saa 9:30 hadi 11:30 katika makaburi ya
Kinon…Read More
TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Afariki Dunia.
Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.Tupo hapa na masikitiko makubwa.Poleni sana sana wafiwa na kijana wake Kinje (Mama yake alifariki 4/1/2018 na Baba yake leo)May his soul Rest in Eternal Peace.
D…Read More
Kampuni ya TTCL Yafutwa.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Makame Mbarawa, amesema kuwa anamshukuru sana Rais Magufuli
kwa kuona umuhimu wa kuona wa kuwa na shirika la mawasiliano madhubuti
kwa ajili …Read More
wakati mwengine kama mtanzania mwenye utimilifu wa akili inabidi mambo mazuri kidogo yanapofanywa kwa manufaa ya nchi au kama ni hesabu zao kali kwa minajiri ya kuja kutuumiza baadae ni dhambi itakayowahukumu baadae lakini pongezi kwa ccm kwa kuyazuia mafuriko kwa kidole na si mikono tena.

ReplyDelete