Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe aliyemtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
Kiongozi
wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akiagana na
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Nyumbani kwake Jijini Dar
es Salaam.(Picha na Ofisi ya Bunge)
0 comments:
Post a Comment