Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Mtoto mdogo apandikizwa mikono huko Marekani.
Saa
3 zilizopita
Zion Harvey
ni mvulana mdogo kuwahi kufanyiwa upasuaji wa upandikizaji mikono kutoka
Marekani.Alitaka kufanyiwa upasuaji huo ili kumchukua dadaake.Hii imetokea
baada ya nchi ya South Africa kufanya jalibio la kupandikiza uhume kwa jinsia
ya kiume,
Related Posts:
Nape, Bashe na Zitto watabiriwa kutekwa..Mkaki Mzima Unaratibia na Usalama wa Taifa.Fahamu zaidi hapa.
Sakata la utekaji limeendelea kung’ang’ania bungeni baada ya mbunge wa
Ukonga (Chadema), Mwita Waitara kutaja wabunge watano akidai kuwa wamo
kwenye orodha ya watu wanaotakiwa na Idara ya Usalama wa Taifa.
Amesema hay… Read More
Rais Magufuli Alivyoujibu Wimbo wa Wagosi wa Kaya kwa Mafumbo Jana.Fahamu zaidi hapa.
Kama kuna watu walifikiri Rais John
Magufuli hajui fasihi, basi wamejidanganya kwani jana alionekana kujibu
kiaina wimbo wa kundi la wanamuziki wa rap la Wagosi wa Kaya unaoitwa
‘Dereva’.
Rais Magufuli alijifananisha … Read More
ARV Zaanza Kuzalishwa Arusha.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu amesema dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV),
zitaanza kuzalishwa mkoani Arusha na Kiwanda cha TPI ARV Limited ambacho
tayari kimep… Read More
Maswali Zaidi ya 1000 Yakosa Majibu Kuhusu Kutekwa na Kuachiwa kwa Roma Mkatoliki.Fahamu zaidi hapa.
Yanaweza yakafika maswali 1,000. Mijini na vijijini watu wanajiuliza
maswali na kama kila swali litachukuliwa kwa uzito, Roma Mkatoliki
atakuwa na kazi ya kujibu zaidi ya maswali 1,000 ya Watanzania.
Baadhi ya maswali… Read More
#VIDEO: "CAG"Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi, hapa kuna tatizo.Fahamu zaidi hapa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
… Read More
0 comments:
Post a Comment