Mgambo wa Jiji wakishirikiana na Polisi wametanda kila kona ya
mitaa ya Kariakoo kupambana na wamachinga ambao wameambiwa kuanzia leo Jumatatu
waende Jangwani kufanya biashara zao.
Baada ya tamko hilo wamachinga wamekataa wamedai HAIWEZEKANI tutapambana nao.
Baada ya tamko hilo wamachinga wamekataa wamedai HAIWEZEKANI tutapambana nao.
0 comments:
Post a Comment