Home »
Michezo
» #YALIYOJIRI>>Malalamiko utovu wa nidhamu viliyoonyeshwa na timu ya Gor Mahia.
Kamati ya
ndani ya uendeshaji wa mashindao ya kombe la Kagame nchini Tanzania (LOC)
imewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CECAFA, Nicholaus Musonye juu ya
vitendo vya utovu wa nidhamu viliyoonyeshwa na timu ya Gor Mahia.
Katika
mchezo wa kwanza uliochezwa tarehe 18 Julai, Kocha mkuu wa Gor Mahia Frank
Nuttal alionyesha inshala ya matusi kwa kidole, jambo liliopelekea kuzua zogo
na washabiki wa mpira waliokuwepo uwanjani kushuhudia mchezo huo.
Wakati wa
mapumziko pia timu ya Gor Mahia hawakupita mlango mkubwa wa kuingilia vyumbani,
badala yake walitumia kuingilia na kutokea upande wa Kaskazini mwa uwanja wa
Taifa, mlango ambao ni maalumu kwa wafanyakazi wa kituo cha runinga cha
Supersport.
Lakini
katika hali ya kushangaza jana katika mchezo wake dhidi ya Khartoum walirudia
kutumia mlango ule ule kwa kuvunja kitasa cha mlango ili waweze kupita kuingia
uwanjani kitu ambacho ni kinyume na kanuni na utaratibu wa mashindano.
LOC imeitaka
CECAFA kuichukulia hatua kali timu ya Gor Mahia kutokana na vitendo hivyo
ilivyovifanya vya kuharibu miundombinu ya uwanja wa Taifa, ambao unatumika kwa
ajili ya michezo mbalimbali ya kimataifa.
Related Posts:
#MICHEZO>>>KICHUYA NDIYE HATARI ZAIDI LIGI KUU BARA, AWAPOTEZA MAVUGO, TAMBWE, NGOMA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kucheza mechi nane, Shiza Kichuya hadi sasa ndiye mshambuliaji hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara.
Kichuya ambaye amejiunga na Simba msimu huu akitokea Mtibwa Sugar, ameishapachika mabao sita.
Mabao hayo yana… Read More
#MICHEZO>>>>BAADA YA KUFUNGA BAO CHIRWA AAMINI ATAENDELEA KUFANYA VIZURI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kuziona nyavu kwa kuifungia Yanga bao, Obey Chirwa amesema anaamini ataendelea kufanya vizuri.
Chirwa
raia wa Zambia amekuwa katika wakati mgumu hadi alipofunga bao wakati
Yanga ikiivaa Mtibwa Sugar na kuitwa… Read More
#MICHEZO>>>>POGBA APIGA BONGE LA BAO UFARANSA IKIILAZA UHOLANZI BAO 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Holland (4-3-3): Stekelenburg,
Karsdorp, Bruma, van Dijk, Blind, Strootman, Wijnaldum (Dost 61), Promes
(Depay 16), Morishige (Willems 83), Klaassen, Janssen.
Subs not used: Zoet, Veltman, de Vrij, Kongolo, Clasie,… Read More
#MICHEZO>>>YANGA IMEVURUGWA, NAFASI YA UBINGWA INAKWENDA INAPOTEA TARATIBU TENA MAPEMA KABISA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ukiangalia
haraka haraka unaweza kuona kama kila kitu kinakwenda kawaida kabisa.
Lakini kikosi cha Yanga, kinakwenda kinapotea nafasi ya kubeba ubingwa.
Taratibu, Yanga inakwenda inapoteza mwelekeo kutokana na mgogoro… Read More
#MICHEZO>>>>Mbio Za Kilimanjaro Marathon 2017 Zazinduliwa Dar Es Salaam.....Kufanyika Februari 26, 2017.Fahamu zaidi hapa.
Mbio
za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2017 ambazo ni za 15 tangu
Kuanzishwa kwake, zimezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam katika
mkutano na wanahabari, wadhamini na Chama Cha Riadha Tanzania.
“Tumeon… Read More
0 comments:
Post a Comment