Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Usitegemee Kumuona Pogba Akiichezea Man United Weekend hii, Kafungiwa.Fahamu zaidi hapa.
Najua inawezekana wewe ni mmoja kati ya mashabiki wa soka duniani
wanaosubiri kumuona staa wa kimataifa wa Ufaransa aliyejiunga na Man
United akitokea Juventus ya Italia Paul Pogba akiichezea Man United
katika mchezo wa ufunguzi wa Man United dhidi ya Bournemouth weekend
hii.
Stori kutoka chama cha soka cha England FA kimethibitisha staa huyo
kufungiwa kucheza mechi ya ufunguzi kutokana na kuwa na adhabu ya kadi
mbili za njano alizooneshwa katika michuano ya Copa Italia akiwa na
Juventus ya Italia, adhabu ambayo kwa mujibu wa kanuni anahama nayo.
Paul Pogba alijiunga na Man United akitokea Juventus ya Italia kwa ada
ya uhamisho wa rekodi ya dunia wa pound milioni zaidi ya 100, lakini
Paul Pogba anaungana na Robert Huth, Moussa Dembele na Chris Smalling
waliofungiwa na FA kucheza mechi za ufunguzi.
Related Posts:
#MICHEZO>>>HATIMAYE AZAM FC 'YAIFUTA' RASMI FAMILIA YA KINA TCHETCHE, YAAMUA KUACHANA NA BOLOU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Hatimaye Azam FC, imetangaza kuachana na mchezaji Kipre Bolou raia wa Ivory Coast.
Azam FC, imemuachoa Bolou, ndugu ya Kipre Tchetche aende zake baada ya mkataba wake kwisha.
Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibit… Read More
#MICHEZO>>>Simba yafunguka kuhusuujio wa Emmanuel Okwi na Kipre Tchetche.Fahamu zaidi hapa.Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba Zacharia Hanspoppe
amekanusha usajili wa washambuliaji Emmanuel Okwi na Kipre Herman
Tchetche ndani ya klabu hiyo katika dirisha dogo la usajili.
Emmanuel Okwi na Kip… Read More
#MICHEZO>>>VILABU VYA TANZANIA KWENYE VIWANGO VYA SOKA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa
viwango vya ubora wa vilabu barani Africa ambapo timu za Tanzania
zimeendelea kutokuwa kwenye namba nzuri zaidi ambapo Yanga inayoongoza
kwa timu za Tanzania imeshika nafasi … Read More
#MICHEZO>>>MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani.
Mayweather
ambaye alitangaza kustaafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana
akisimamia pambano la mabon… Read More
#MICHEZO>>>AZAM FC YASAJILI WASHAMBULIAJI WAWILI NYOTA KUTOKA NCHINI GHANA.FAHAMU8 ZAIDI HAPA.
Klabu
Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imefanikiwa kuwasajili
washambuliaji nyota wawili kutoka Ghana, Samuel Afful na Yahaya
Mohammed.
Zoezi la kuingiana
mikataba limehudhuria na baadhi ya viongozi wakuu… Read More
0 comments:
Post a Comment