Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Wema Sepetu Awashushua Wanaomsema Aunt na Zari.Fahamu zaidi hapa.
Imelda Mtema, Risasi
SUPA-STAA Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, amefunguka kuwa anachukizwa na watu
wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel, baada ya
kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya mzazi mwenza wa Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Akizungumza na Za Motomoto News, Wema alisema unatakiwa ufike wakati
watu waelewe na waongozwe kwa akili zao za kuzaliwa kwa sababu hakuna
kitu kibaya ambacho amekifanya Aunt, kwa kuwa staa mwenzake huyo kwa
sasa ni mmoja wa familia hiyo.
“Jamani hebu naomba kwanza wamuache Aunt, hana kosa lolote, hata kama
ningekuwa mimi hapa nisingeweza kuacha kwenda kwa sababu tayari ni
familia na hawezi kumuacha mumewe aende peke yake maana vitu vingine ni
vya kujiongeza tu, nachukizwa sana na jinsi wanavyomrushia maneno ya
kashfa,” alisema Wema.
Related Posts:
Mashabiki wa Muziki Wamdhihaki Diamond Mtandaoni.Fahamu zaidi hapa.
MASHABIKI wa muziki wa Bongo Fleva nchini wamekuwa wakisambaza picha
ya mwanamuziki nyota, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ikimuonyesha
akiwa katika hali duni tofauti na ukwasi alionao hivi sasa.
… Read More
Jide Afunguka ya Kuachwa na Mnigeria Wake.Fahamu zaidi hapa.
Jide afunguka ya kuachwa na Mnigeria wake
Wakati maneno ya chini chini yakiwa yanaendelea kuhusu kupigwa kibuti
na mpenzi wake mpya Spicy kutoka Nigeria, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’
amefunguka na kusema wabongo wengi wa… Read More
Hatarii..Siwema Amvua Nguo Hadharani Nay wa Mitego ,Aanika Siri Zake Zote.Fahamu zaidi hapa.
MZAZI mwenziye na Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,
Siwema Hudson amesema kitendo cha serikali kumpa kashikashi kutokana na
wimbo wake wa Wapo hakikumshangaza kwani alitarajia hayo yatokee kwa
kuwa z… Read More
Kimenukaa..Mama Yake Hamisa Mobeto Atolea Kichambo Hiki Zari the Boss Lady,Amtaka Akome Kumtajataja Mwanae Mitandaoni.Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM Skendo ya mjini iliyotapakaa mjini na kwenye mitandao ya
kijamii inamgusa modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto akidaiwa kujichora
‘tatuu’ ya mwanamuziki maarufu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
ishu il… Read More
Exclusive..Nay wa Mitego Afunguka Mazito kwa Saa 36 Alizokuwa Chini ya Ulinzi wa Polisi,Afunguka Mengi ya Kushangaza Aliyofanyiwa na Polisi.Fahamu zaidi hapa.
Siku moja baada ya Rais John Magufuli kuamuru msanii wa muziki wa kizazi
kipya, Emmanuel Elibariki maarufu ‘Ney wa Mitego’ kuachiwa huru na
baadaye kusema ameitwa Ikulu, rapa huyo amefunguka na kueleza
kilichojiri katik… Read More
0 comments:
Post a Comment