STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kwa mara ya kwanza tangu
aachane na mpenzi wake, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ameibuka na kusema
amewaachia penzi wajuaji.
Wolper alisema kuwa baada ya kumwagana na Harmonize kwa sasa ameamua
kujikita zaidi katika kufanya mambo yake ya kimaendeleo na mambo ya
mapenzi na msanii huyo wa Bongo Fleva amewaachia wajuaji ambao anaamini
walikuwa wakimtolea macho kitambo.
“Harmonize nimewaachia wajuaji wawe naye, nimeamua kuwa bize na mambo
yangu ya maendeleo zaidi, suala la mapenzi nimeliweka pembeni kwanza,”
alisema Wolper.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment