Baada ya show zake ambazo hazifiki hata 15 toka ametusua kupitia single yake ya Aiyola mkali huyu kutoka WCB ameonyesha bidii ikiwekwa popote kuna matunda. Ni gari aina ya Mark X ambapo Mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz alimpongeza na kuandika…”Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na Nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi yako….. Usiache unyenyekevu, kuheshimu mkubwa na Mdogo, Kumuomba na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila hatua ndogo Uipigayo…. Congrats kwa your New Ride” Diamond
Sunday, 8 May 2016
Home »
Burudani
» Harmonize kwaa sasa anamiliki ndinga hii aina ya Mark X..Muziki unalipa.Fahamu zaidi hapa.
Harmonize kwaa sasa anamiliki ndinga hii aina ya Mark X..Muziki unalipa.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Baada ya Kubwagwa na Heri Muziki Diva Anyapia Penzi la Soudy Brown. Baada ya kubwagana na mpenzi wake Heri Muziki, Diva amefunguka mipango yake ya kuwa na Soudy Brown. Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm amesema kwa sasa yupo tayari kubadili dini kwa ajili ya Soudy Br… Read More
Aunt Ezekieli, Tunda na Iyobo Kimenuka Wamwagiana Mvua ya Matusi Mitandaoni. Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii leo Jumanne ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katika ukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment. “Afu n… Read More
Kuolewa Mke wa Pili si Dhambi- Tausi Mdegela. KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa, ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida kuolewa mke mwenza au wa pili kwani kama ni Muislam, dini inaruhusu. Tausi alifunguka h… Read More
Hizi Ndivyo Wema, Mobetto na Tunda Wanavyozungukana kwenye Penzi la Diamond. Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kuonekana akioneshana mahaba shatashata na zilipendwa wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambacho kimeamsha ‘vilivy… Read More
TID: Kuwa Karibu na Makonda Kumenifanya Nikose Show. Msanii wa muziki, TID amelalamika kuwa baadhi ya watu wanamfanyia figisu figisu ili asipate show kutokana na ukaribu wake na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Muimbaji huyo amefunguka hayo katika kipindi cha E… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment