Wabunge wa Kambi ya upinzani wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge wakipinga kushiriki tukio la kuapishwa kwa wabunge kupitia Baraza la Wawakilishi, mjini Dodoma, leo asubuhi.
Monday, 30 May 2016
Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>> Upinzani wasusia kikao cha Bunge asubuhi ya leo.Fahamu zaidi hapa.
#Breaking News>>> Upinzani wasusia kikao cha Bunge asubuhi ya leo.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>> Maalim Seif atua Pemba, vurugu zaikutanisha CUF, SMZ.Fahamu zaidi hapa. Msafara wa Katibu CUF, Maalim Seif Sharif Hamad ukilakiwa na wakazi wa Kisiwani cha Pemba Zanzibar wakati katibu huyo alipowasili kisiwani humo kwa ziara ya kikazi. Picha ya Mtandao Habari Kwanza Maalim Seif aliwasili … Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yanasa Kilo 34,000,000 za Sukari Mafichoni.Fahamu zaidi hapa. Shehena ya sukari ya kilo milioni 34 zilizokuwa zimefichwa kwenye maghala ya wafanyabiashara watatu Kilimanjaro imekamatwa na vyombo vya usalama, na serikali mkoani humo imetangaza kuiuza kwa wananchi kuanzia jana kwa b… Read More
#YALIYOJIRI>>>RC SIMIYU AAGIZA UCHUNGUZI WA VIGOGO 6.Fahamu zaidi hapa. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka amemwagiza Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Simiyu kuwaongeza katika kesi ya watumishi sita wa Halmashauri ya Bariadi kwa matumizi mabaya ya madaraka baada ya tuhuma za ujenzi wa banio la u… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Vijana Wanaovaa Suruali Chini ya Kiuno Kuchapwa Viboko 70.Fahamu zaidi hapa. Wakazi wa Kata ya Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wametoa uamuzi kuwa wanawake watakaovaa sketi fupi na vijana watakaovalia suruali chini ya kiuno, wataadhibiwa kwa kuchapwa viboko 60 hadi 70. Ua… Read More
#YALIYOJIRI>>>NGONYANI : SERIKALI YA MAGUFULI SI YA MCHEZO.Fahamu zaidi hapa. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Injinia Edwin Ngonyani amesema kwamba Serikali ya Awamu ya Tano ikisema jambo inamaanisha na ikiahidi inatenda kama ilivyoahidi hivyo wananchi waiamini. Ngonyani ameyasema hayo Bungen… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment