Msafara wa basi la Yanga likiwa limewabeba wachezaji na
viongozi kuelekea makao makuu ya klabu lakini kwanza wakipitia Quality Centre
kuonana na Manji aliewaita , baada ya kupokelewa uwanja wa ndege . Jiji la
simama ... ni furaha na nderemo kila kona
Mashabiki
wa klabu ya Yanga leo wamejitokeza kwa Wingi kuipokea timu yao
iliyowasili kutoka nchini Angola.YANGA imefanikiwa kufuzu hatua ya
makundi kombe la shirikisho Afrika baada ya kuitoa Esperance ya Angola
kwa jumla ya goli 2 kwa 1
0 comments:
Post a Comment