Gari lenye namba za usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya Saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam
Monday, 30 May 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUJERUHI WATATU.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>>GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUJERUHI WATATU.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Chadema Walianzisha ..!!!!..Fahamu zaidi hapa. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, Juma Maganga amepewa siku saba kueleza sababu ya kupitisha bajeti ya mwaka 2017/18 ikidaiwa ni kinyume na utaratibu. Wakizungumza na waandishi wa habari, madiwani k… Read More
Rais wa Uturuki Aleta Neema Tanzania...!!!..Fahamu zaidi hapa. Wakati Rais wa Uturuki, Recep Erdogan akitua nchini leo, uhusiano kati ya nchi yake na Tanzania umesaidia kukua kwa biashara kutoka Dola66 milioni za Marekani (zaidi ya Sh 135 bilioni) hadi Dola180 milioni (zaidi ya Sh3… Read More
Mbowe kitanzini tena,apewa siku 14 kulipa deni linalomkabili.Fahamu zaidi hapa. Miezi takribani mitano iliyopita tangu aondolewe Billcanas, siku moja tangu Serikali imzuie asiendelee na shughuli za kilimo katika shamba lake, Mwenyekiti huyo wa Chadema amepewa siku 14 awe amelipa kodi inayokadiriwa… Read More
Inasikitisha Mnoo!! Mama Atupa Kichanga Chake Chooni Kisa Eti Anaokoa Ndoa Yake Isivunjike..!!!..Fahamu zaidi hapa. MATUKIO mawili ya mama kutupa vichanga chooni baada ya kujifungua, yametikisa katika wilaya za Sikonge na Shinyanga. Katika tukio la wilayani Sikonge, mama akichukua uamuzi huo ili kulinda ndoa isivunjike, baada ya kupa… Read More
Waumini Kanisa la Anglikan Wamzuia Askofu Mokiwa kufanya vikao.Fahamu zaidi hapa. Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam wa Kanisa la Anglikana, Dk valentino Mokiwa jana alishindwa kuendesha vikao viwili baada ya kundi la waumini kufika Usharika wa Ilala kwa lengo la kuzuia. Askofu Mokiwa, ambaye an… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment