Thursday, 19 May 2016

#YALIYOJIRI>>>>Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam.Fahamu zaidi hapa.

Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo
Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

0 comments:

Post a Comment