Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>SERIKALI YAPIGA MKWARA MZITO UCHAGUZI WA YANGA.Fahamu zaidi hapa.
Kizingumkuti cha uchaguzi mkuu wa yanga chaendelea baada ya zoezi la
uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika klabu ya Yanga kuwa
na sintofahamu kubwa.
Serikali ilitoa maelekezo ya kuelekea uchaguzi huo lakini kunaonekana kuwepo kwa vikwazo mbalimbali ili zoezi hilo lisifanikiwe.
huyu hapa kaimu katibu mkuu wa BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA
akielezea.
VIDEO
Related Posts: #EXCLUSIVE>>>>HATIMAYE YAMETIMIA, NGASSA AMWAGA WINO KUKIPIGA MBEYA CITY.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale, hatimaye mshambuliaji Mrisho Ngassa ametua Mbeya City.
Ngassa amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Mbeya City, maana yake itakuwa naye katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Ba… Read More Ngassa: Najua Kuna Maneno na Minong’ono Mingi Kuhusu Uwezo Wangu Muda si Mrefu yataisha.Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye mchezaji Mrisho Ngassa aliyekuwa anacheza soka la kulipwa
kwenye klabu ya Fanja Fc ya Oman, amemwaga wino kuitumikia klabu ya
Mbeya City fc akiungana na nyota wengine 9 waliojumishwa kikosini kwenye
usajili wa d… Read More KWA AJILI YA MGHANA, KOCHA JOSEPH OMOG ALAZIMIKA KUPANGUA KIKOSI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Benchi
la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Joseph Omog, limeridhishwa na
kiwango cha kiungo Mghana, James Kotei ambaye amepewa mwaka mmoja.
Kiungo
huyo maarufu kama Mzima Swichi, anamudu kucheza nafasi ya… Read More NAMNA SIMBA ILIVYOPOKELEWA NA GARI KWA KUSUKUMWA NA MASHABIKI WA LINDI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Katika
hali isiyotarajiwa, jana Alhamisi mashabiki wa Yanga walioungana na wa
Simba, kwa pamoja kuipokea timu ya Simba ilipowasili mkoani Lindi
ilipokuwa inaelekea Mtwara kucheza dhidi ya Ndanda.
Simba
ambayo keshok… Read More DILI LA MBUYU TWITE KWENDA MAJIMAJI LABUMA, YAELEZWA AMEPATA OFA NJE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Usajili wa beki Mbuyu Twite kwenda Majimaji ya Songea umeingia ruba baada ya kukwama katika hatua za mwisho.
Majimaji ilifikia hatua nzuri ya mazungumzo na Twite, lakini baadaye katika hatua za mwisho suala hilo likashi… Read More
0 comments:
Post a Comment