Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) leo wamegoma
wakiishinikiza Bodi ya Mikopo(HESLB) kuwapatia fedha zao za kujikimu.
Kwa kawaida wanafunzi hupewa fedha za kujikimu kila baada ya miezi miwili.
Kwa kawaida wanafunzi hupewa fedha za kujikimu kila baada ya miezi miwili.
Makamu
wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshengema amesema mgomo huo
ni matokeo ya taarifa zisizoeleweka zilizo kuwa zikitolewa na bodi juu
ya lini fedha hizo zitatolewa.
Kwa kawaida pesa ya chakula huingiziwa kila baada ya siku 60 na mpaka sasa yapata wiki mbili pesa hiyo haijaingizwa
Mgomo huo unakuja zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Rais Magufuli Kuzulu chuo hicho kwa ajili ya uzinduzi wa jengo la Maktaba.
0 comments:
Post a Comment