Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua Michael Richard Wambura kuwa Kamishina wa mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Rwanda na Msumbiji unaotarajiwa kufanyika jijini Kigali, Juni 3, 2016. Wambura ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), atakuwa Balozi mzuri katika mchezo huo unaokutanisha timu ambazo nchi imepana nazo. Msumbiji iko Kusini mwa Tanzania wakati Rwanda iko Magharibi mwa Tanzania.
Thursday, 26 May 2016
#MICHEZO>>> WAMBURA AULA KWA CAF.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#MICHEZO>>KOMBE LA DUNIA LA VIJANA.Fahama yaliyojiri hapa. *Mali, Senegal robo fainali *Nigeria watolewa na Ujerumani Michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 imefika patamu, ambapo Mali na Senegal wameingia robo fainali. Mali waliwashangaza Ghan… Read More
#MICHEZO>>>Amina Karuma achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini. Uchaguzi wa Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake nchini (TWFA) umemalizika ambapo Amina Karuma amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho, kufuatia uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es salaam. Nafasi y… Read More
#MICHEZO>>>Bolt na Farah wafurai Medali.Fahamu zaidi hapa. Wanariadha Mo Farah wa Uingereza na Usain Bolt wa Jamaica wameendelea kuitikisa dunia kwenye mchezo huo, baada ya kutwaa medali nyingine za dhahabu. Wakati Farah, mzaliwa wa Somalia aliyekimbilia Uingereza kukwepa… Read More
#MICHEZO>>David De Gea ni Lawama Tu.Fahamu zaidi hapa. Klabu ya Real waliomkosa kipa waliyemtarajia, David De Gea kutoka Manchester United, wamesema bayana kwamba walifanya kila waliloweza kukamilisha usajili huo lakini Mashetani Wekundu ndio walikwamisha mchakato. Katika … Read More
#MICHEZO>>>De Bruyne atua Man City.Fahamu zaidi hapa. *Januzaj ajiunga na Borussia Dortmund *Javier Hernendez aenda Bayer Leverkusen *De Gea atua Real Madrid *Man U wamnasa Martial kutoka Monaco * Borini njiapanda, Jelavic ni West Ham Hatimaye Manchester City wame… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment