Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>CAF YARUDISHA HATUA YA MTOANO MICHUANO YA KLABU.Fahamu zaidi hapa.
Shirikisho la Soka Afrika limetaja mfumo mpya wa mashindano kuanzia
mwakani, na sasa limerudisha mfumo wa mechi za mtoano kuanzia hatua ya
Robo Fainali.
Katika kikao cha Jumanne ya Mei 24, mwaka 2016
mjini Cairo, Misri; Kamati ya Mashindano ya Klabu ya CAF ilikubaliana
juu ya mfumo mpya wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.
Mabadiliko katika mashindano hayo mawili yalitangazwa na Rais wa CAF,
Issa Hayatou katika Mkutano Mkuu wa 38 wa shirikisho hilo uliofanyika
mjini Mexico City, kwamba kuanzia mwakani kutakuwan na timu 16.
Related Posts:
#MICHEZO>>>EXCLUSIVE: MO DEWJI AANZA KAZI, AMWAGA SH MILIONI MIA ZA USAJILI SIMBA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa makapumni ya Mohammed Enterprises Ltd
(MeTL Group) Mohammed Dewji ‘MO’ ametoa kiasi cha shilingi milioni 100
kwa klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia zoezi la usajili kama
alivyoahidi siku … Read More
#MICHEZO>>>>KAZI IPO, MANJI AWAITA WANACHAMA WA YANGA JUMAMOSI, WANAKUTANA DIAMOND JUBILEE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Wanachama wa Yanga, watakutana Jumamosi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Ukumbi huo, Juzi Jumapili wanachama wa Simba walipitisha uamuzi wa klabu yao kuacha mchakato wa kuwa kampuni.
Wanacham… Read More
#MICHEZO>>>>JOHN OBI MIKEL ABADILI JINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
John Obi Mikel ameamua kubalisha jina lake. Jina lake halisi alikuwa
anaitwa Michael John Obi, lakini Shirikisho la Soka nchini Nigeria kwa
bahati mbaya walikosea herufi wakati wakimwandikisha jina lake katika
kikosi c… Read More
#MICHEZO>>>KAULI YA WAZIRI NAPE KUHUSIANA NA MABADILIKO YA SIMBA HII HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye ameweka wazi
anachoamini ni bora katika mabadiliko yaliyofanywa na wanachama wa
kalabu ya Simba.
Wanachama
wa klabu ya Simba wamepitisha kwa pamoja kuwa… Read More
#MICHEZO>>>>Bale Akodi kisiwa cha karibu billioni 2 kumchumbia demu wake.Fahamu zaidi hapa.Gareth Bale alikodi kisiwa cha Tagomago, kilichopo karibu na Ibiza ili kufanya shughuli ya kumposa mchumba wake Emma Rhys-Jones.
Kwa
mujibu wa ripoti mchezaji huyo wa Real Madrid alikikodi kisiwa hicho
Tagomago, ambapo al… Read More
0 comments:
Post a Comment