Friday, 20 May 2016

Picha za basi jingine la mwendo kasi lililopata ajali muda huu.

Muda wa mchana basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya Magomeni baada ya gari binafsi kupiga u-turn sehemu isiyoruhusiwa. Chini ni picha za tukio hilo

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment