Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>PICHA:ZA TAIFA STARS KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA KENYA ZIKO HAPA.
Kikosi cha kwanza cha timu ya Soka ya Tanzania -Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Harambee Stars ya Kenya hapo jana Jumapili.
Mshambuliaji
wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na David Odhiambo wakati
wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Moi Kasarani,
Nairobi Kenya hapo jana. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sare ya
1-1.
Winga wa Taifa Stars, Shiza Ramadhani akichuana na beki Joakins Atudo wa Harambee Stars katika mchezo huo.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>>UEFA YAPATA RAIS MPYA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (Uefa).
Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka nchini Slovenia, amepata
kursa 42 kwenye mkutano maalum ulioanyika jijini Athens nchini U… Read More
#MICHEZO>>>PSG WALIMUINGIA NEYMAR KWA GIA BAB’KUBWA, AKAWATOLEA NJE.FAHAMU ZAIDI HAPA.Ilibaki
kidogo staa wa Barcelona, Neymar asaini kwa matajiri wa Ufaransa, PSG
kwa kitita cha pauni milioni 42, kabla ya kuitosa ofa hiyo na kuamua
kusalia Barcelona kwa mkataba mpya wa miaka mitano.
Mipango
hiyo ilikuwa i… Read More
#MICHEZO>>>>SIKU MOJA KABLA YA EUROPA, MBWANA SAMATTA AKUMBUKA NYUMBANI, AMWAGA MACHOZI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji Mtanzania ambaye anaichezea Genk ya Ubelgiji,
licha ya kuwa bize na masuala ya timu yake hiyo ya Ulaya bado
ameonyesha kuwa anaendelea kuwa mmoja wa Watanzania ambao wanafuatilia
masuala ya nyumbani kwao baad… Read More
#MICHEZO>>>>KWA REKODI HII YA MAVUGO, YANGA WAPEWA ANGALIZO KUWA MAKINI NAYE.FAHAMU ZAIDI HAPA.Wakati
Simba ikiendelea kufurahia mafanikio ya mechi zake nne za awali,
imebainika kuwa straika wao tegemeo, Mrundi, Laudit Mavugo, amekuwa na
rekodi ya ajabu kwamba kila anapofunga bao kwenye lango la Kaskazini
basi timu… Read More
#MICHEZO>>>PRESHA INAZIDI KUWA KUBWA, SIMBA YABAINI UJANJA WA AZAM FC.FAHAMU ZAIDI HAPA.Simba
inatarajia kujitupa dimbani tena Jumamosi ya wiki hii kuumana na Azam
FC lakini tayari imegundua ni sekta gani Azam wanaweza kuitumia kuwazidi
ujanja, hivyo tayari imejipanga kuhusiana na hilo.Simba
imejinadi kuwa i… Read More
0 comments:
Post a Comment