Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wadau mbalimbali wa CTI na kutoka Sekta ya Viwanda nchini kabla ya kutoa Tuzo za Rais kwa viwanda vilivyofanya vizuri kwa mwaka 2015 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua nembo mpya ya Tuzo za Rais kwa Wazalishaji bora wa Viwanda PMAYA The President’s Manufacure of the Year pamoja na Mwenyekiti wa Wenyeviwanda Tanzania CTI Dkt. Samwel Nyantahe katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam.
Tuesday, 31 May 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Ashiriki Katika Hafla Ya Utoaji Wa Tuzo Za Rais Kwa Wazalishaji Bora Wa Viwanda Kwa Mwaka 2015.i.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Ashiriki Katika Hafla Ya Utoaji Wa Tuzo Za Rais Kwa Wazalishaji Bora Wa Viwanda Kwa Mwaka 2015.i.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Huyu Ndiye Rubani wa Kwanza Mwanamke Tanzania Kurusha Boeing Airbus.Fahamu zaidi hapa. KATI ya wanawake wa Kitanzania waliopeperusha bendera yetu vizuri nje ya nchi kielimu ni Kapteni Hilda Wendy Ringo ambaye sasa ni rubani. Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya Tambaza jijini Dar es… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Ikulu Yafuta Safari ya Wakuu wa Wilaya 10 Kwenda China China.Fahamu zaidi hapa. Katibu Mkuu Kiongozi John Kijazi Ikulu imefuta safari ya wakuu wa wilaya 10 na wakurugenzi idadi kama hiyo waliotakiwa kwenda China kwa mafunzo ya uchumi wa kimaeneo kuanzia jana, na kuna uwezekano mkubwa ikatangaza uteu… Read More
Breaking News>>>Rais Dkt. Magufuli Amfukuza Kazi Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Mama Anne Kilango Malecela.Fahamu zaidi Bofya hii link hapa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mama Anna kilango Malecela kuanzia leo. Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Anna kil… Read More
Msanii Mwigine wa Bongo Anayeteketea Kwa Madawa ya Kulevya Huyu Hapa.Fahamu zaidi hapa. Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada. Mlaaniwe wote m… Read More
List Ya Simu Zitakazo kosa Huduma ya Whatsapp Miezi Michache Ijayo.Fahamu zaidi hapa. Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema inataka kuangaz… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment