Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>KUTOKA BUNGENI:SERIKALI YASHAURIWA KUIVUNJA BODI YA SUMATRA.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Temeke Jijini Dar es salaam Abdallah Mtolea (CUF) ameitaka
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuivunja bodi ya SUMATRA kwa
kutosimamia sheria inayotaka watanzania theluthi mbili kuajiriwa wakati
meli zinapotia nanga bandarini.
Mtolea amebainisha Bungeni kwamba
watu wanaofanya kazi katika meli nyingi zinazoingia nchini siyo
watanzania ambapo sheria inataka watanzania theluthi mbili waweze
kuajiriwa meli zinapoingia nchini, hivyo kwa kuwa jukumu hilo.
Related Posts:
Tanesco Yatoa Tahadhari Hii Kufuatia Mvua Zinazonyesha...!!!.Fahamu zaidi hapa.
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO),limetoa tahadhari kwa wateja wake na
wananchi kwa ujumla juu ya mvua zinazonyesha. Miongoni mwa tahadhari
hiyo ni pamoja kutofanya biashara katika miundo mbinu ya umeme.
Down… Read More
Dr. Makongoro Mahanga Atoweka.....Polisi Waendelea Kumsaka.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro
Mahanga, anayesakwa na Jeshi la Polisi ametoweka nyumbani kwake.
Mahanga
anasakwa na polisi kutokana na amri ya Mahakama Kuu Kanda ya … Read More
Makonda atangaza vita nyingine, “hawa ni halali yangu”.Fahamu zaidi hapa.
Siku chache baada ya kutangaza vita dhidi ya dawa za kulevya na
kuanza kuitekeleza kwa kasi, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
ametangaza vita mpya na makandarasi wasio wawajibikaji.
Makonda ametangaza vita hi… Read More
Kazi Imeanza..Ridhiwani Kikwete Ahojiwa na Tume Dawa za Kulevya, Asema Haya...!!!.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Chalinze jana alihojiwa na tume ya kupambana na kudhibiti
madawa ya kulevya. Alipoulizwa kuhusu kuitwa huko, mwenyekiti wa tume
hiyo, jaji Siang'a amesema kila aliyetajwa kwenye orodha ya wanaohusika
ataitwa. N… Read More
Eh..Makubwa Haya..Misri Waja na Mpango Kama Marekani kwa Nchi za Kiafrika...!!!.Fahamu zaidi hapa.
RAIS Abdi El-Fattah Al-Sisi wa Misri amesema nchi yake imejitoa kwa hali
na mali kuimarisha ushirikiano na nchi nyingine za Afrika ili kujiletea
maendeleo ya kiuchumi kwa pamoja.
Alikuwa anazungumza na viongozi 37 wa … Read More
0 comments:
Post a Comment