Home »
Burudani
» Pasha Amuumbua Snura, Afunguka Haya.Fahamu zaidi hapa.
Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na
uhusiano wa kimapenzi na Snura ila kipindi hiko Snura alikuwa hajaanza
kufahamika na yeye alikuwa akitamba na nyimbo ya ni soo.
“Kusema hajawahi kutoka na star hiyo ni uongo na amedanganya mimi
nilikuwa na uhusiano nae tena nakumbuka kipindi kile nilikuwa
namuimbiaga nyimbo yangu ya ni soo na ile ya am sorry”,alisema Pasha
Related Posts:
Pasha Amuumbua Snura, Afunguka Haya.Fahamu zaidi hapa.
Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na
uhusiano wa kimapenzi na Snura ila kipindi hiko Snura alikuwa hajaanza
kufahamika na yeye alikuwa akitamba na nyimbo ya ni soo.
“Kusema hajawahi kutoka na … Read More
#BURUDANI>>>>Live from South Africa Mkurugenzi kuu MD wa Sony Music Africa,Sean Wetson Waki sign mkataba na mwanamuziki Alikiba.Fahamu zaidi hapa.
Alikiba
Alikiba
baada ya kusaini mkataba huo amewashukuru mashabiki wake kwa support
waliompa toka aliporudi na wimbo wake wa 'Mwana' mpaka leo hii na kusema
atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada … Read More
Bifu la Shilole na Vanessa, Shilole Atangaza Vita…HALI SI SHWARI TENA.Fahamu zaidi hapa.
Akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa smu kujibu tuhuma hizo,
Shilole amesema amechukizwa na kitendo cha Vanessa kuandika mambo mabaya
juu yake na kupost istagram, hivyo ajiandae kwa lolote.
“Ukiona hivyo ujue ki… Read More
Wema, Petit Ndani ya Bifu.Fahamu zaidi hapa.
Imevuja! Urafiki wa muda mrefu wa muigizaji nyota, Wema Sepetu na mshika
kamera wake, Petit Man umeingia dosari baada ya kudaiwa kuwa wawili hao
wako ndani ya bifu, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Wema na Petit
Chanz… Read More
Madee adai kuishi na Dogo Janja ni Kutimiza ndoto ya mpenzi wake aliyefariki.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa Bongo Flava, Madee ameweka wazi alipoitoa nguvu kubwa ya
kufanikiwa kuishi na rapa toka Ngarenaro, Arusha, Dogo Janja kama mtoto
wake.
Madee alifunguka wikendi iliyopita kwenye kipindi cha The Playlist
cha 10… Read More
0 comments:
Post a Comment