Taifa Stars imeshindwa kutinga fainali ya Kombe la Cosafa baada ya kufungwa kwa mabao 4-2 na Zambia.
Stars ilianza
kupata bao kupitia Erasto Nyoni lakini Zambia wakasawazisha na kuongeza
na kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-1.
Baada ya Nyoni
kuumia na kutolewa, mabeki wa kati Salim Mponde na Abdi Banda
wakaonekana kuyumba na kutoa nafasi Zambia kufunga mabao mawili ya
haraka.
Kipindi cha pili,
Zambia walipata mabao mawili ya haraka na kuwa 4-1 lakini Simon Msuva
alifunga bao jingine na matokeo ya mwisho yakawa 4-2.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment