Unaambiwa kipindi hiki cha usajili ndio kimevunja rekodi ya kutumia 
pesa nyingi zaidi ukiacha miaka iliyopita. Ishu ni kwamba usajili mkubwa
 haumaanishi ndio ubingwa upo mezani, lakini kwa kiasi kikubwa 
inachangia.
Manchester city imefanya usajili wa nguvu sana na inaongoza kwenye 
hii list. Matunda ya usajili wao umeanza kuoneka mwanzo wa ligi na 
wamepata matokeo mazuri. Lakini ligi ya uingereza haiwezi kutabirika 
mapema tusubiri hadi hapo baadae.
Hii hapa ni list ya club za EPL kwa pesa walizozitumia kwenye 
usajili. Listi imepangwa kutokana na net spend ambayo ni tofauti kati ya
 pesa zilizotumiaka toa pesa zilizopokewa.
 










 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment