Wakati vikao vya juu vya CCM vya
kuchuja wagombea urais vikianza leo, hofu na wasiwasi umezidi kutanda miongoni
mwa wagombea, viongozi na wanachama wa chama hicho kuhusu namna ya kuikabili
minyukano baina ya wagombea hao na kibarua cha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
0 comments:
Post a Comment