Wednesday, 8 July 2015

#YALIYOJIRI>>Jaji Damian Lubuva mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema.




Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema hadi sasa wameshaandikisha wapigakura zaidi ya milioni kumi na moja kati ya milioni 24 wanaotarajiwa kua
ndikishwa nchini kote.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment