Wednesday, 8 July 2015

#YALIYOJIRI>>Ramadhan Singano "Messi" aitesa Simba.




Hatimaye Ramadhan Singano ‘Messi’ sasa yuko huru. Ni baada ya sakata lililodumu kwa miezi kadhaa baina ya mshambuliaji huyo na klabu yake, Simba ambayo ameibwaga.

0 comments:

Post a Comment