Tuesday, 9 February 2016

#HABARI>>>Picha: Edward Lowassa Amjulia Hali Mafti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Aliyelazwa MuhimbiliFahamu zaidi hapa.

 Aliekuwa  mgombea urais kwa tiketi ya Chadema ,Edward Lowassa  leo amemtembelea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry aliyelazwa Hospitali  ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo juzi

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment