EWURA yatangaza bei mpya za mafuta.Fahamu zaidi hapa.
Mamlaka
ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei
mpya za nishati ya mafuta zitakazoanza kutumika kesho Jumatano huku bei
ya mafuta ya taa na dizeli ikiwa imeshuka kwa wastani wa shili…Read More
Moto Wateketeza Maduka 14 Arusha.Fahamu zaidi hapa.
Maduka
14 katika eneo la Mianzini jijini Arusha yameteketea kwa moto jana
asubuhi na kusababisha hasara mbalimbali huku jeshi la polisi
likiimarisha ulinzi na kusimamia shughuli za uokoaji wa mali
zilizosalimika. …Read More
0 comments:
Post a Comment