“Zitto hafai kuiongoza TFF, ni mbinafsi” – Jerry Muro.
Siku za hivi karibuni kumeibuka stori ambayo imekuwa ikimake
headlines kwenye mitandao mbalimbali hasa katika medani ya soka la
Tanzania ikimuhusu Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kutaka kugombea Urais wa TFF.
Habari…Read More
PAMBANO LA JOSHUA DHIDI YA KLITSCHKO SASA LIKO LIVE TV1.
Pambano la ngumi za kulipwa kati ya Anthony Joshua dhidi ya Wladimir Klitschko tayari liko LIVE kupitia TV1.
Kwa sasa yameanza kuonyesha mapambano ya utangulizi.
Pambano kati ya Joshua wa Uingereza na Klitshcko r…Read More
0 comments:
Post a Comment