Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA MTWARA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Wamawake
wakiwa wametandika khanga kwenye wodi ya wazazi ya Hospitali ya Mkoa wa
Mtwara, Februari 29, 2016.Waziri Mkuu, Kassim majaliwa alitembelea wodi
hiyo na kukemea mtindo huo akiwataka wauguzi na waganga kutandika
mashuka yahospitali ambayo alisema ana taarifa kuwa yapo ili kuepusha
hatari ya wananwake hao kubeba magonjwa kupitia kahanga hizo watokapo
hospitalini hapo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya Mkoa wa Mtwara Februari
29, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Halima Dendego na kulia Ni
Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt.Shaibu Maarifa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waganga, Wauguzi na wafanyakazi wa
Hospitali ya Mkoa wa Mtwara wakati alipoitembelea Februari 29, 2016.
Baadhi
ya Wauguzi na Madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Mtwara wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao hospitalini hapo
Februari 29, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim majliwa akitoa agizo la kusimamishwa kazi Daktari wa
Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Fortunatus Namahala (kulia) baada ya
kutajwa kuwa alidai rushwa ya sh.100, 000/= ili aweze kumtibu baba mzazi
wa Tatu Abdallah (wapili kulia) wakati alipoitembelea hospitali hiyo
Februari 29, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akiagana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa
Mtwara, Shaibu Maarifa kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara kabla ya kurejea
Dar es slaam Februari 29, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim majaliwa akitazama ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara
kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam Februari 29, 2016.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Naibu Waziri wa Afya akamata shehena kubwa ya bidhaa za viroba feki.Fahamu zaidi hapa.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla, ambaye anaongoza timu ya Serikali
yenye wataalamu na wanausalama, kusaka viroba feki na pombe nyingine
haramu, amekama… Read More
#YALIYOJIRI>>>ALIYEKUWA RAIS WA MISRI AONDOLEWA HUKUMU YA KIFO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mahakama nchini Misri imebatilisha hukumu ya kifo aliyopewa rais aliyepinduliwa Mohammed Morsi.
Morsi alikumiwa kifo baada ya kulaumiwa kuhusika na kutoroka kwa wafungwa wengi wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.
Alichag… Read More
#Breaking News>>>>Mbunge wa Tarime Vijini, John Heche anasurika kwenye ajali maeneo ya Mikese.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Tarime Vijijini, Bw. John Heche amepata ajali maeneo ya Mikese
akitoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia
ajali hiyo Bw. Heche amenusurika na yupo salama kufuatia ajali hi… Read More
#Breaking News>>>Ajali Morogoro. Basi la kampuni ya Sekenke limeanguka maeneo ya kwa makunganya inasadikiwa kuwa watu 4 wamepoteza maisha.Fahamu zaidi hapa.
Ajali imetokea asubuhi hii eneo la mkundi Morogoro (kama dakika 50
zilizopita). Basi la sekenke express kutokea Dar kwenda kanda ya ziwa
limehama njia likagonga mti na kupinduka na kugeukia lilikotoka.
Watu 4 wamepoteza… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Dr.Congo Kabila atangaza kutowania Urais katika uchaguzi mkuu ujao.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia
wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika
Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka 2018.
Akilihutubia Bunge … Read More
0 comments:
Post a Comment