Arsenal wamepangwa kundi moja na Bayern Munich kwenye michuano ya
Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu utakaoanza Septemba 15 mwaka huu.
Kwenye kundi hilo (Kundi F) pia wamo Olympiakos kutoka Ugiriki na Dinamo
Zagreb wa Croatia.
Washabiki wengi wa soka wanadhani
kwamba makali ya Bayern Munich ni kikwazo mno kwa Arsenal na huenda
Washika Bunduki hao wa London watashindwa kuvuka hatua za makundi.
Hata
washabiki wa Arsenal hawajafurahishwa kuona timu yao imo kwenye kundi
moja na Bayern ambao ni moja kati ya timu tishio za Ulaya kwa sasa.
Nadhani ni kwa sababu timu yao imeondolewa na wababe hawa mara mbili
kwenye.
0 comments:
Post a Comment