Sunday, 23 August 2015
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>UZINDUZI CCM: Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akiwatumbuiza wafuasi wa CCM waliohudhuria ufunguzi wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana.
#YALIYOJIRI>>>>UZINDUZI CCM: Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akiwatumbuiza wafuasi wa CCM waliohudhuria ufunguzi wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>>Uchumi wa Tanzania Waongoza Afrika Mashariki Ukifuatiwa na Kenya.Fahamu zaidi hapa. Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa – IMF. Katika ripoti yake … Read More
#YALIYOJIRI>>>>URUSI KUJENGA KIWANDA CHA NYUKILIA NCHINI.Fahamu zaidi hapa. Makampuni makubwa ya Viwanda na uzalishaji ya Kirusi ya “Russian Helicopters”, “United Aircraft Corporation (UAC)” na “United Wagon Company (UWC)” yako tayari kuwekeza kwenye miradi ya viwanda nchini Tanzania. Waziri wa v… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mkuu Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Afungwa Mwaka Mmoja kwa Kosa la Kuajiri Watumishi Wenye Elimu ya Darasa 7.Fahamu zaidi hapa. MKUU wa Chuo cha Uhasibu (IAA) Njiro mkoani Arusha, Profesa Johannes Monyo amehukumiwa kifungo cha nje kwa sharti la kutofanya kosa lolote ndani ya mwaka mmoja. Hukumu hiyo ilitolewa Ijumaa iliyopita na Hakimu… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo 'Ageuka Mbogo' Baada ya Kukabidhi Zawadi HEWA Mei Mosi.Fahamu zaidi hapa. MKUU wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo ameagiza ifikapo leo, wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo, wawe wamewapa zawadi zao watumishi bora wa mwaka huu baada ya kubaini walitoa zawadi hewa kwenye sherehe za Mei Mosi. … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Wafanyakazi wa Kiwanda cha Urafiki na Kampuni ya Vinywaji ya Pepsi (SBC) Wagoma.Mabomu Yatumika Kuwatuliza, Polisi Apigwa Jiwe Kichwani.Fahamu zaidi hapa. Miezi michache baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kukwaruzana na Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea chanzo kikiwa ni mgogoro wa Kiwanda cha Urafiki na kupelekana mahakamani, jana mabomu … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment