Klabu ya
Manchester City hatimaye imekamilisha usajili wa mlinzi wa kimataifa wa
Argentina, Nicolas Otamendi aliyekuwa mchezaji wa Valencia kwa dau la pauni
milioni 32. Kocha mkuu wa klabu hiyo, Manuel Pellegrini anaamini kuwa amenunua
beki bora zaidi. Otamendi alifuzu vipimo vya afya na kukubali kusaini mkataba
wa miaka mitano. Kabla ya hapo Otamendi alikuwa.
0 comments:
Post a Comment