Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada jana jijini Dar
es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na
mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali
jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya
kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc
Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari(hawapo pichani )
jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye vyakula. Kushoto ni
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Michael John.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii Michael John(kushoto) akijibu maswali ya wanahabari (hawapo
pichani ) jana jijini Dar es salaam juu ya kuweka madini joto kwenye
vyakula. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van
Amengen.
Mmoja wa waandishi wa habari David John
swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari
jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu
Mkurugenzi Msaidizi huduma ya lishe kutoka
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Vincent Assey (kushoto) akifafanua kwa wanahabari
juu ya umuhimu wa madini joto jana jijini Dar es salaam .Kulia ni Mkurugenzi wa
Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Neema Rusibimayila.
0 comments:
Post a Comment