Arsenana Liverpool zatoka sale ya bila kufungana baada
ya kuonyesha soka la kukamiana hii inatokea baada ya droo kutawala siku ya
tarehe 22-August-2015.
Kikosi cha Simba Chatua Kagera.
Mapema asubuhi ya leo kikosi cha klabu ya soka ya Simba kimetua mkoani
Kagera kwa ajili ya kucheza mechi yao ya ligi kuu Tanzania Bara na
Kagera Sugar.
Simba waliondoka alfajiri kwa ndege huku ikiwa na wachezaji wake muh…Read More
TFF Yasubiria Ripoti ya Kamishna wa Michezo Ili Kumuadhibu Nyoso.
Baada ya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kudaiwa kumpiga shabiki wa Simba hapo jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema linasubiri ripoti ya kamishina wa mchezo huo ili kumchukulia hatua za kinidhamu.Nyoso alishik…Read More
Takukuru Yamchukua Kaburu Mahakamani Ili Kumuhoji.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa
Rais wa klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ anayekabiliwa na kesi
ya utakatishaji fedha wa USD 300,000 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu k…Read More
0 comments:
Post a Comment