Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba
yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es
Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo
na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga
wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar
es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo
maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha haki za binadamu na Utawala
Bora nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia na kuagana rasmi na
wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo.Watatu kushoto ni Waziri wa
Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serkali
Mh.George Masaju.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bwana Tom Nyanduga pamoja na Waziri wa
Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais Kuwahutubi na kuagana na
wafnyakazi wa tume hiyo leo.
Toa maoni yako hapa.
0 comments:
Post a Comment