Monday, 7 September 2015

#YALIYOJIRI>>>>UCHAGUZI 2015 Jumla ya Wagombea 15 wa nafasi ya Urais Zanzibar wachukua fomu Ofisi za ZEC.Fahamu zaidi hapa.

Wagombea 15 wa Urais Zanzibar kutoka vyama tofauti 15 wameshachukua fomu za kugombea Urais katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC).
Mwenyekiti wa Tume hiyo Jecha Salim amesema wagombea hao wanatakiwa kurudisha fomu hizo kwa ajili ya uhakiki tarehe 6 Septemba.

Wagombea waliochukua fomu ni; Ali Khatib Ali from Chama cha Kijamii (CCK), Hafidh Hassan from Tanzania Labour Party (TLP), Seif Ali Iddi from the National Reconstruction Alliance (NRA), Ali Mohammed Shein (CCM), Maalim Seif Sharif (CUF), Said Soud Said (AFP), and Hamad Rashid Mohammed (ADC).

Na wengine ni; Khamis Iddi Lila (ACT-Wazalendo), Mohammed Masoud Rashid (CHAUMMA), Abdallah Kombo Khamis (DP), Tabu Mussa Juma (Demokrasia Makini-DM), Kassim Bakari Ali (Jahazi Asilia), Issa Mohammed Zonga (Sauti ya Umma- SAU), Juma Ali Khatib (TADEA), and the only female Mwajuma Ali Khamis from UPDP.

Wagombea wote wa nafasi ya Urais wanatakiwa kuanza Kampeni tarehe 7 mwezi Septemba.

Mgombea wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesharudisha Fomu yake kwenye Ofisi za NEC.
Chanzo
                       JamiiForums     

0 comments:

Post a Comment