Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>NEC imesema kuwa leo tarehe 7 Septemba ndio siku ya mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura kwenye daftari la mpiga kura.Fahamu zaidi hapa.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa leo tarehe 7
Septemba ndio siku ya mwisho ya kuhakiki taarifa za mpiga kura katika
daftari la mpiga kura, zoezi hilo lilianza tarehe 19 Agosti.
Zoezi hili limekuwa likiendelea nchi nzima. Tume imesema pia kwa wale
ambao hawataweza kuhakiki kufikia leo jioni kwa kukagua taarifa zako kwa
njia ya simu kwa kubonyeza *152*00# au kutembelea tovuti Mwanzo ::Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kufuata maelekezo..
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afika Muhimbili Kumjulia Hali Waziri Mkuu Staafu Fredrick Sumaye.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick
Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa
matibabu hii leo Januari 12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Maja… Read More
#Tanzia>>>Leticia Nyerere Afariki Dunia.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors
Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku kwa saa za
Afrik… Read More
#YALIYOJIRI>>>Maalim Seif Sharif Hamad Aongea Na Waandishi wa Habari,Asema CUF Haiko Tayari Kurudia Uchaguzi Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
Hatimaye,
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
ametoa msimamo wake na chama chake kufuatia mazungumzo ya siri ya
kutafuta suluhu ya mkwamo wa kisiasa unaotokana na tangazo la kufutwa
kwa uc… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Aliyelazwa Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili leo Januari 11,2015.Fahamu zaidi hapa.
Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe
Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali Waziri
Mkuu Mstaafu huyo Mhe Freredick Sumaye katika Taasisi ya Moyo ya Ja… Read More
#YALIYOJIRI>>>UVCCM yataka Rais mstaafu wa Zanzibar Dr Aman Abeid Karume Afukuzwe CCM.Fahamu zaidi hapa.
UMOJA
wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kumvua
uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Aman Abeid Karume.
Kauli
hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar na
Mw… Read More
0 comments:
Post a Comment